STEVEN KANUMBA & MZEE KIPARA WALIPENDANA KAMA BABA NA MWANA…!!!

Posted on Apr 12 2012 - 8:24am by Mwemutsi Erick
 Enzi za uhai wao! Hapa ni wakati Kanumba alipo mtembelea mzee Kipara kigamboni wakati alipoanza kusumbuliwa na matatizo ya miguu mwaka jana.
Dah kweli kifo hakichagui mpumzike kwa amani
R.I.P
Enzi za uhai wao wakipiga stori mbali mbali za hapa na pale.