Kilichoponza MwanaHalisi Kufungiwa Hiki Hapa

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halis , inayochapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti yaliyolalamikiwa na Serikali.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi, inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Kampuni hiyo juu ya malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa kwa gazeti lake la Mwana Halisi jana ambapo alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja Tamko lake Kushoto ni Mhariri wa Gazeti  hilo Bw, Jabir Idrissa.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

`
Design By : Tanzania Servers Technology