You Are Browsing ‘Politics’ Category

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Jeshi la Polisi nchini, Isaya Mngulu, amesema matukio ya ulipuaji wa mabomu yanayotokea katika Jiji la Arusha hayana uhusiano na matukio ya kigaidi yanayotokea nchi jirani ya Kenya. Alisema hayo jana wakati akihojiwa katika kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa...

Harakati za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazidi kuchukua sura mpya baada ya  Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, kuonyesha nia...

Serikali imesema imejipanga vyema kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya na itakabiliana na wanaojihusisha na biashara hiyo kwa kutumia kila mbinu kufanikisha...

Mjadala wa Bajeti ya mwaka huu wa fedha 2014/15 umekuwa moto kila kona ya nchi huku wabunge mbalimbali wakitoa maoni yao yakidhihirisha wazi kuwa ni bajeti inayouma na kupuliza kutokana na kujaa lugha tamu, japokuwa ina machungu yake. Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe (Chadema), ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, amesema bajeti ya mwaka huu itaendelea...

Mengi yamejitokeza zaidi katika sakata lililokuwa limeandaliwa na baadhi ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki waliokuwa wameandaa hoja ya kumung’oa madarakani Spika wao, Margret Nantongo Zziwa, baada ya wabunge wa Tanzania kutoa tamko la kutounga mkono jaribio hilo. Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika vya NIPASHE, sababu kubwa ya kujengwa kwa hoja hiyo ilitokana na umakini...

Baadhi ya wabunge wamemshambulia Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, kwamba amekuwa akipendelea Jimbo lake la Mwanga lililopo mkoani Kilimanjaro kwa kulitengea kiasi kikubwa cha fedha za miradi ya maji huku majimbo yenye ukame mkubwa yakipewa fedha kidogo. Wabunge hao walitoa shutuma hizo wakati wakichangia mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya...

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema tathmini ya Tume yake ilithibitisha kuwa Muundo wa Muungano wa serikali mbili hauwezi kubaki kwa hali ya sasa. Alisema Muungano wa serikali mbili ulioachwa na waasisi siyo uliopo sasa kwani umebadilishwa mara nyingi, wakati mwingine bila ya kufanya mabadiliko kwenye Katiba. “Waasisi walituachia...

Mwenyekiti  wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ametofautiana na kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ambaye amekuwa akikaririwa mara kwa mara akisema Bunge hilo halina mamlaka ya kurekebisha Rasimu ya Katiba mpya. Badala yake, Sitta ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ameungana na kauli ya Mwanasheria Mkuu...

Wakati utulivu ukitawala katika upigaji kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga, Iringa, matokeo ya awali kutoka kwenye vituo vya kupiga kura yanaonyesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza huku Chadema wakifuatia kwa karibu. Matokeo yaliyokusanywa kutoka vituo vya kupigakura yanaonyesha kuwa katika Ofisi ya kijiji cha Tagamende CCM kimepata kura 64,...

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUF DHIDI YA MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA 13.03.2014 Mimi  FABIAN L. SKAUKI, Mgombea Ubunge wa Uchaguzi mdogo Jimbo la CHALINZE kwa tiketi ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi...

Design By : Tanzania Servers Technology