Ajali jijini Dar leo

 Ajali  imetokea saa moja iliyopita ktk barabara ya Nyerere Road karibu na AfriCare na kiwanda cha Peps  jijini Dar es salaam baada ya  dereva wa gari ya fuso ya kichina (jiafeng) iliyobeba maji masafi  kupiga ‘No-linda’ kuingia kulia bila kuangalia gari zinazotoka moja kwa moja airport..hakuna aliyepoteza maisha. Ila kumeguka kwa bodi ya lori hiyo kumezua hofu zaidi kwa wananchi juu ya magari yenye ubovu huo kuruhusiwa kutumia barabara zetu.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

`
Design By : Tanzania Servers Technology