Kwetu Bongo

Best Tz Online Magazine / Newspaper

DIAMOND LAANA HIYOOO!

DIAMOND LAANA HIYOOO
by Mwemutsi Erick - 18 July 2014

Oooh! Nooh! Wakati akimpa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’ gari la Sh. milioni 38 huku akitawanya mamilioni ya fedha kwenye matukio mbalimbali, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anadaiwa kunyemelewa na laana kufuatia baba yake, Abdul Jumaa kuugua na kuvimba miguu bila msaada wowote. Staa...

Entertainment

DIAMOND LAANA HIYOOO!

DIAMOND LAANA HIYOOO

Oooh! Nooh! Wakati akimpa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’ gari la Sh. milioni 38 huku akitawanya mamilioni ya fedha kwenye matukio mbalimbali, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anadaiwa kunyemelewa na laana kufuatia baba yake, Abdul Jumaa kuugua na kuvimba miguu bila msaada wowote. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akila ujana na mpenzi wake Wema...

Politics

DCI: Mabomu Arusha siyo Al-Shabaab

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Jeshi la Polisi nchini, Isaya Mngulu2

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Jeshi la Polisi nchini, Isaya Mngulu, amesema matukio ya ulipuaji wa mabomu yanayotokea katika Jiji la Arusha hayana uhusiano na matukio ya kigaidi yanayotokea nchi jirani ya Kenya. Alisema hayo jana wakati akihojiwa katika kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Radio One Stereo kila siku asubuhi. Nchini Kenya kumakuwapo na matukio ya mara kwa...

Sport

Argentina defeats Netherlands to reach final

Argentina-v.-netherlands

Brazil thought its nightmare was over — but perhaps it’s only just beginning. After the humiliation of being obliterated by Germany, those who had dreamed of a Brazilian World Cup triumph might have thought they would be left alone to quietly lick their words or perhaps console themselves with a sombre walk along the shores of the Copacabana. Alas, such a luxury will not be afforded...

World Wide

Uingereza yaomba ruhusa ya jeshi lake

England

Uingereza imesema kuwa inafanya mazungumzo na kenya ili kutatua mzozo kuhusu mafunzo ya wanajeshi wa Uingereza nchini humo. Serikali ya Kenya inaaminika kuchelewa kuwaruhusu wanajeshi zaidi wa Uingereza kuingia nchini humo ili kufanya mazoezi. Maelfu ya wanajeshi wa Uingereza huzuru nchini kenya kila mwaka kwa mafunzo ya wiki sita lakini hilo limesitishwa kwa mda baada ya kenya kuchelewa kutoa ruhusa...

Design By : Tanzania Servers Technology